Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ndio tena unakula na kokotoππππππππKwa hiyo Mimi napenda vitamutamu
Kweli Sinaga utaratibu wa kupiga picha,Ila Tulia muda wowote mzigo huoooπTupia kapicha basi π
Mhh acha tuendelee kusubirπ₯Kweli Sinaga utaratibu wa kupiga picha,Ila Tulia muda wowote mzigo huoooπ
Nakuwaga serious Sana na kinywaji changu!Mhh acha tuendelee kusubirπ₯
Naona upo serious kweliπNakuwaga serious Sana na kinywaji changu!
π€£π€£π€£π€£π€£π₯π₯π₯π₯Naona upo serious kweliπ
Ewaaaaah na hakikisha imeisha ndio ulale!weka vitu π€£π₯π₯
Halafu wewe hunywiπ€Ewaaaaah na hakikisha imeisha ndio ulale!weka vitu π€£π₯π₯
ππππππWeka vituHalafu wewe hunywiπ€
Hii ndio yenyewe sasaπ
Inashuka vizuri hadi nasahau shida za duniaπHii ndio yenyewe sasaπ
Unasahau shida zoteπInashuka vizuri hadi nasahau shida za duniaπ
Karibu mkuuπ₯Huu uzi haunifai
NdiwoooππUnasahau shida zoteπ
ππππNyie noma Sana...
Tunaendeleza weekendπ₯πππππNyie noma Sana...
Kuna faida gani mtu akifa na maini mazima (mapya)?Kataa vilevi
Kataa walevi
Tunza main na figo yako
Tunza afya yako
[emoji23]