Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na jinsia pia.Sawa mkuu
Hahahaaa pole mi ni designer nilijifunza mwenyewe nikawafunza watoto wa kike ndio wanao chora mkuuNa jinsia pia.
Kuna siku nimetulia sina hili wala lile nimetegesha shingo nachora zangu piko nipendeze mume wangu afurahie na yeye.
Mpaka namalizia ndo nikagundua yule aliekuwa ananichora ni mwanaume.
Mie sikuona ni big deal. Mume wangu sasa kuja kumhadisia alitamani anisugue na steel wire.