Wale wapenzi wa piko pitia mtaa huu

tupia na ya kutupia sio ya mjazo hivo yale ya bei nafuu
 
Na mchoraji pia apite aache picha alizochora yeye na namba za simu na location.

Ikiwezekana aweke na rates zake.

Sijachora mda.
 
Sawa mkuu
Na jinsia pia.

Kuna siku nimetulia sina hili wala lile nimetegesha shingo nachora zangu piko nipendeze mume wangu afurahie na yeye.

Mpaka namalizia ndo nikagundua yule aliekuwa ananichora ni mwanaume.

Mie sikuona ni big deal. Mume wangu sasa kuja kumhadisia alitamani anisugue na steel wire.
 
Hahahaaa pole mi ni designer nilijifunza mwenyewe nikawafunza watoto wa kike ndio wanao chora mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…