Uganda hawana uwanja unaokidhi vigezo takiwa.Kwanini hio mechi imeenda kuchezewa misri?
Uzi huu ni mahususi kwa waganda wenzangu waliopo humu jamii forum na pia kwa mashabiki na watu wote wenye mapenzi mema na Uganda.
Kesho tunacheza na kibonde wetu Tanzania( Taifa stars) huko nchini Misri.
Mchezo huu utaanza majira ya saa 11 za jioni na utapigwa katika dimba la Suez Canal lililopo jijini Ismailia.
Weka utabiri wako hapo chini, bila kusahau kuwatakia kheli za kutosha waganda kwani waafrika wote ni ndugu na Afrika ni moja.
[emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji736][emoji736][emoji736]
Mkuu vipi mbona unanihusianisha na hao pimbi? Mwarabu toka lini akafananishwa na hao vibonde[emoji23][emoji23]?
Kutokana na kukosea kubashiri mechi zilizopita, kama Vipers vs Simba, Simba vs Viper pia &Simba vs Horoya, naona unaenda kukosea tena .Uzi huu ni mahususi kwa waganda wenzangu waliopo humu jamii forum na pia kwa mashabiki na watu wote wenye mapenzi mema na Uganda.