Wale wasubiriao matokeo mafunzo ya elimu pitia hapa

Wale wasubiriao matokeo mafunzo ya elimu pitia hapa

Kaplizer

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
720
Reaction score
582
Kwa habari ya uhakika tuliyopewa na mmoja kati ya wakurugenzi wa elimu pale wizara ya elimu makao makuu yaliyopo pale Magogoni mkabala na ikulu Dar es salaam.

Ni kwamba wizara haitochukua watu wenye ufaulu wa division four. I mean ametoa ufafanuzi kwamba wenye ufaulu wa kuanzia division 3, 2 na 1 ndio watakaochaguliwa.

Sababu alioitoa ni wingi wa waombaji. Na kutekeleza amri waliyopewa na mkubwa wao.
 
Kwa habar ya uhakika tuliyopewa na mmoja kati ya wakurugenzi wa elimu pale wizara ya elimu makao makuu yaliyopo pale Magogoni mkabala na ikulu Dar es salaam ... Ni kwamba wizara haitochukua watu wenye ufaulu wa division four.. I mean ametoa ufafanuzi kwamba wenye ufaulu wa kuanzia division 3, 2 na 1 ndio watakaochaguliwa... Sababu alioitoa ni wingi wa waombaji.... Na kutekeleza amri waliyopewa na mkubwa wao...

Kwa mana hiyo boss, majina yatatoka tena au yale yaliotoka NACTE ndio wameshamaliza?
 
mbona watu kibao wenye 2 na 3 wameachwa tena za sayansi
 
Kwa mana hiyo boss, majina yatatoka tena au yale yaliotoka NACTE ndio wameshamaliza?

amesema hana uhakika sana.. Kwani wanasubiria go ahead toka kwa wakubwa wao wa kazi kama yatoke au la..
 
jmn ninavgezo vyote vya advance au ualimu lkn bado nipo nyumban naumia sana tatizo nikuapply mambo ya ualimu maalum kwa kidato cha nne kwa masomo ya sayansi na hisabati ila inauma sana kuona had sas majina hayajatoka.
 
Hayo majina ya waliochaguliwa hayo mafunzo maalum ya ualimu kwa miaka 3 yako wadau?kuna mdogo wangu aliomba na cjui kinachoendelea,anaitwa Queen Chacha,mwenye uelewa anijuze kwenye 0754539177
 
uliona hii kozi mafunzo maalumu ya ualimu kwa kidato cha nne ?,???
Sio mpaka waandike mafunzo maalum kwa kidato cha nne, m navyojua kuna watu waliomba mfumo huo wa mafunzo maalum kidato cha nne kusoma 3yrs Advanced + Education wamechaguliwa diploma elimu ya awali, mmoja wapo n jirani yangu dogo aliomba CBE (Chemistry + Biology + Education), labda wanaweza kutoa tena iwapo baadhi ya waliochaguliwa hawata-report vyuoni lkn hyo n probability ndugu yangu, m nlvyosikia mpango wa kusoma advance + education 3yrs nilijua tu hii n cinema coz yaan usome diploma kwa mwaka mmoja coz advance n 2yrs, Tz ya leo c kama ya jana bcoz siasa inaingizwa ktk technical issue, kipindi unasubiria km watatoa tena uwe unafanya application ktk vyuo vingine coz kunakumalza mwaka hv hv home, na uwez jua mwakan watakuja na sera gan.
 
Mohamed Hassan hao wote ni form six tu kwa upande wa form four bado hawajatoa na kuna watu wana I,II na III tena za sayansi na hesabu ila bdo hawajachaguliwa hvy mwambie (nyamemba) mwambie queen awe na subra yatatoka.
 
Last edited by a moderator:
Sio mpaka waandike mafunzo maalum kwa kidato cha nne, m navyojua kuna watu waliomba mfumo huo wa mafunzo maalum kidato cha nne kusoma 3yrs Advanced + Education wamechaguliwa diploma elimu ya awali, mmoja wapo n jirani yangu dogo aliomba CBE (Chemistry + Biology + Education), labda wanaweza kutoa tena iwapo baadhi ya waliochaguliwa hawata-report vyuoni lkn hyo n probability ndugu yangu, m nlvyosikia mpango wa kusoma advance + education 3yrs nilijua tu hii n cinema coz yaan usome diploma kwa mwaka mmoja coz advance n 2yrs, Tz ya leo c kama ya jana bcoz siasa inaingizwa ktk technical issue, kipindi unasubiria km watatoa tena uwe unafanya application ktk vyuo vingine coz kunakumalza mwaka hv hv home, na uwez jua mwakan watakuja na sera gan.
nikweli kwamba serikali haikuwahi kufanya mabadiliko bila kutoa taarifa ndg nipe mf.ambao gvnt ilitangaza kozi na haikutolewa majibu na hao walioomba half combination wakapelekwa diploma ya chekechea labda hawana vgezo lkn ngoja tusubir gvnt ndo waamuzi wa mwisho
 
Ndugu zangu wanajamii forum, Bwana Yesu asifiwe! pia kwa jiran zetu waislamu Asalam Alykumu. Binafsi nilkua na matumaini makubwa sana kwamba lazima nchaguliwe kulingana na ufauli wangu mzuri kwa form four na form six lkn mpaka sasa nafsi inakata tamaaa couz nawaza kukaa mwaka mzima bila hela, bila kazi halafu kijijini ni shida sana. Pengine tungekuwa na uwezo nyumbani ningeomba hata TCU second round hapo pia nahofia mkopo cdhani kama ntapata, kweli serikali yetu biskuti ya mchina eti "Aidha kulingana na upungufu mkubwa wa walimu wa sayansi/hisabati serikali itatoa kipao mbele kwa watakao chaguliwa watapewa mkopo na ruzuku division one hadi division three" kumbe ni ufyongo wa wakuda wa wizara ya elimu, inaniuma aise
 
We jamaa unasema ulimaliza form six,
Form four unamatokeo mazuri pote !
kwanini unalia na masuala ya ualimu?
Vyuo vya afya vimepita,ualimu pia.
Sikuelewi uko kundi gani.
 
We jamaa unasema ulimaliza form six,
Form four unamatokeo mazuri pote !
kwanini unalia na masuala ya ualimu?
Vyuo vya afya vimepita,ualimu pia.
Sikuelewi uko kundi gani.

nijkua nafikiria kuingia kwenye mfumo mapema pia kulegalega kwa mikopo vyuo vikuu nkaona nigonge dip kwanza, ndo hivo nkanaswa mzee! dah nimepatikana vibaya
 
Tatizo la serkali yetu wanadai wantal kufuta gred A ualimu na ndio maan wanachkua pass l,ll,lll wakidato cha sita weng waliomb wamepta scienc + eduction uliekidato ch 4,kam ulitgemea umekosa labd gred A matokeo ypo hewa mpk mwakn.
 
Back
Top Bottom