Kwa habar ya uhakika tuliyopewa na mmoja kati ya wakurugenzi wa elimu pale wizara ya elimu makao makuu yaliyopo pale Magogoni mkabala na ikulu Dar es salaam ... Ni kwamba wizara haitochukua watu wenye ufaulu wa division four.. I mean ametoa ufafanuzi kwamba wenye ufaulu wa kuanzia division 3, 2 na 1 ndio watakaochaguliwa... Sababu alioitoa ni wingi wa waombaji.... Na kutekeleza amri waliyopewa na mkubwa wao...
Naomba kuhuliza nini maana STASHAADA YA KAWAIDA AWALI
bwirehatari@hot mail.com
Sio mpaka waandike mafunzo maalum kwa kidato cha nne, m navyojua kuna watu waliomba mfumo huo wa mafunzo maalum kidato cha nne kusoma 3yrs Advanced + Education wamechaguliwa diploma elimu ya awali, mmoja wapo n jirani yangu dogo aliomba CBE (Chemistry + Biology + Education), labda wanaweza kutoa tena iwapo baadhi ya waliochaguliwa hawata-report vyuoni lkn hyo n probability ndugu yangu, m nlvyosikia mpango wa kusoma advance + education 3yrs nilijua tu hii n cinema coz yaan usome diploma kwa mwaka mmoja coz advance n 2yrs, Tz ya leo c kama ya jana bcoz siasa inaingizwa ktk technical issue, kipindi unasubiria km watatoa tena uwe unafanya application ktk vyuo vingine coz kunakumalza mwaka hv hv home, na uwez jua mwakan watakuja na sera gan.uliona hii kozi mafunzo maalumu ya ualimu kwa kidato cha nne ?,???
nikweli kwamba serikali haikuwahi kufanya mabadiliko bila kutoa taarifa ndg nipe mf.ambao gvnt ilitangaza kozi na haikutolewa majibu na hao walioomba half combination wakapelekwa diploma ya chekechea labda hawana vgezo lkn ngoja tusubir gvnt ndo waamuzi wa mwishoSio mpaka waandike mafunzo maalum kwa kidato cha nne, m navyojua kuna watu waliomba mfumo huo wa mafunzo maalum kidato cha nne kusoma 3yrs Advanced + Education wamechaguliwa diploma elimu ya awali, mmoja wapo n jirani yangu dogo aliomba CBE (Chemistry + Biology + Education), labda wanaweza kutoa tena iwapo baadhi ya waliochaguliwa hawata-report vyuoni lkn hyo n probability ndugu yangu, m nlvyosikia mpango wa kusoma advance + education 3yrs nilijua tu hii n cinema coz yaan usome diploma kwa mwaka mmoja coz advance n 2yrs, Tz ya leo c kama ya jana bcoz siasa inaingizwa ktk technical issue, kipindi unasubiria km watatoa tena uwe unafanya application ktk vyuo vingine coz kunakumalza mwaka hv hv home, na uwez jua mwakan watakuja na sera gan.
nikweli kwamba serikali haikuwahi kufanya mabadiliko bila kutoa taarifa ndg nipe mf.ambao gvnt ilitangaza kozi na haikutolewa majibu na hao walioomba half combination wakapelekwa diploma ya chekechea labda hawana vgezo lkn ngoja tusubir gvnt ndo waamuzi wa mwisho
Ndugu zangu wanajamii forum, Bwana Yesu asifiwe! pia kwa jiran zetu waislamu Asalam Alykumu. Binafsi nilkua na matumaini makubwa sana kwamba lazima nchaguliwe kulingana na ufauli wangu mzuri kwa form four na form six lkn mpaka sasa nafsi inakata tamaaa couz nawaza kukaa mwaka mzima bila hela, bila kazi halafu kijijini ni shida sana. Pengine tungekuwa na uwezo nyumbani ningeomba hata TCU second round hapo pia nahofia mkopo cdhani kama ntapata, kweli serikali yetu biskuti ya mchina eti "Aidha kulingana na upungufu mkubwa wa walimu wa sayansi/hisabati serikali itatoa kipao mbele kwa watakao chaguliwa watapewa mkopo na ruzuku division one hadi division three" kumbe ni ufyongo wa wakuda wa wizara ya elimu, inaniuma aise
We jamaa unasema ulimaliza form six,
Form four unamatokeo mazuri pote !
kwanini unalia na masuala ya ualimu?
Vyuo vya afya vimepita,ualimu pia.
Sikuelewi uko kundi gani.