Kaparo JF-Expert Member Joined Sep 7, 2013 Posts 2,072 Reaction score 5,053 Sep 12, 2014 #21 SOCIETY'S FOCUS said: nijkua nafikiria kuingia kwenye mfumo mapema pia kulegalega kwa mikopo vyuo vikuu nkaona nigonge dip kwanza, ndo hivo nkanaswa mzee! dah nimepatikana vibaya Click to expand... Ungeomba vyuo vya afya ungepata serikalini.
SOCIETY'S FOCUS said: nijkua nafikiria kuingia kwenye mfumo mapema pia kulegalega kwa mikopo vyuo vikuu nkaona nigonge dip kwanza, ndo hivo nkanaswa mzee! dah nimepatikana vibaya Click to expand... Ungeomba vyuo vya afya ungepata serikalini.
A Alexander B Gilbert Member Joined Aug 25, 2014 Posts 9 Reaction score 0 Sep 12, 2014 #22 kaparo aloizay said: We jamaa unasema ulimaliza form six, Form four unamatokeo mazuri pote ! kwanini unalia na masuala ya ualimu? Vyuo vya afya vimepita,ualimu pia. Sikuelewi uko kundi gani. Click to expand... Aisee watu wamechaguliwa long we unalalama fungua maswa blog ujionee
kaparo aloizay said: We jamaa unasema ulimaliza form six, Form four unamatokeo mazuri pote ! kwanini unalia na masuala ya ualimu? Vyuo vya afya vimepita,ualimu pia. Sikuelewi uko kundi gani. Click to expand... Aisee watu wamechaguliwa long we unalalama fungua maswa blog ujionee
A Alexander B Gilbert Member Joined Aug 25, 2014 Posts 9 Reaction score 0 Sep 12, 2014 #23 ismailyy said: uliona hii kozi mafunzo maalumu ya ualimu kwa kidato cha nne ?,??? Click to expand... Fungua maswa blog na ujionee all selected students Kwa ngazi ya stashaada
ismailyy said: uliona hii kozi mafunzo maalumu ya ualimu kwa kidato cha nne ?,??? Click to expand... Fungua maswa blog na ujionee all selected students Kwa ngazi ya stashaada
ismailyy Senior Member Joined Jul 26, 2014 Posts 123 Reaction score 18 Sep 13, 2014 #24 Alexander B Gilbert said: Fungua maswa blog na ujionee all selected students Kwa ngazi ya stashaada Click to expand... hao ni form six tu waliochukuliwa hyo koz kwa form four bado
Alexander B Gilbert said: Fungua maswa blog na ujionee all selected students Kwa ngazi ya stashaada Click to expand... hao ni form six tu waliochukuliwa hyo koz kwa form four bado