Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
what are relationships between PARENT ACT AND SUBSIDIARY LEGISLATION?
Kajifunze Kiingereza wewe.
Wanafunzi wa siku hizi mmekuwa wavivu kutafuta madesa mnataka short cut hadi hapa
parent Act/ principal legislation ndio inakuwa na provisions zinzoruhusu kutungwa kwa subsidiary legislation, in other word, principle legislation ndio sheria mama ya jambo fulani na subsidiary legislation ni mtoto ambaye anajazia mambo ambayo si lazima yaingie katika sheria mama. Mara nyingi hufanywa hivyo kuepuka mlolongo wa kufanya marekebisho madogo madogo ambayo si lazima yapite bungeni mfano viwango vya faini,si lazima bunge zima likae, jukumu hupewa waziri wa sekta