fasihi ya kiswahili ni ile kazi ya kifasihi ambayo inaandikwa kwa kiswahili lakini haiegemei zaidi katika kumtaja mswahili pamoja na utamaduni wake kwa ujumla wake lakini fasihi ya waswahili ni ile ambayo inamtaja mswahili kwa kiasi kikubwa pamoja na utamaduni wake.nawasilisha