Wale Watanzania mliobahatika kuishi nchini Angalo hasa katika Jiji la Luanda hiki tunachoambiwa kuhusu majina ya huko ni ukweli?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna ameishi huko na sasa amekuja Likizo mara moja kaniambia kwamba kama Wewe ni Mtanzania halafu Siku moja ukabahatika ama Kusafiri na Mzazi wako au Wazazi wako au Wakwe zako basi mkiwa mnapita katika mitaa mbalimbali Jiji bora na la Gharama barani Afrika la Luanda usiwe unasoma nae Vibao vya Mitaa yao ( vinavyotambulisha mitaa ) kwakuwa vilivyoandikwa kwa ' Kibongobongo / Kitanzania ' na hiki Kiswahili chetu huwa ni ' Matusi ' matupu.

Moja ya mfano wa Mtaa ambao ni maarufu sana huko unaitwa ' PumbuKilo Avenue ' ambako amesema kuwa hapo wamejazana mno Wareno wa Kizungu na Wanaijeria sana japo hata Watanzania nao huonekana mara moja moja.

Haya mlioko huko hii ni kweli au ' Mwanamume ' nisiyependa Kusafiri na Kapuku Mimi hapa nimelishwa Tango Pori tena ' mubashara ' kabisa?

Nawasilisha.
 
nadhani ni tango pori mubashara hahah, ngoja wajuvi wa mambo wafike watueleze, nawahi kiti cha mbele kabisa, kusikiliza juu ya mambo ya huko luanda.
 
Kinshasa
IMG-20160430-WA0034.jpeg
 
Na pumbu jiwe lzma itakuepo namwona salum kikeke yupo pumbu Avenue
 
Write your reply...Mnashangaa nini mbona Tanzania ipo kunduchi ...huku kwetu ipo Makunduchi ...kilima nyege
 
Back
Top Bottom