GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna ameishi huko na sasa amekuja Likizo mara moja kaniambia kwamba kama Wewe ni Mtanzania halafu Siku moja ukabahatika ama Kusafiri na Mzazi wako au Wazazi wako au Wakwe zako basi mkiwa mnapita katika mitaa mbalimbali Jiji bora na la Gharama barani Afrika la Luanda usiwe unasoma nae Vibao vya Mitaa yao ( vinavyotambulisha mitaa ) kwakuwa vilivyoandikwa kwa ' Kibongobongo / Kitanzania ' na hiki Kiswahili chetu huwa ni ' Matusi ' matupu.
Moja ya mfano wa Mtaa ambao ni maarufu sana huko unaitwa ' PumbuKilo Avenue ' ambako amesema kuwa hapo wamejazana mno Wareno wa Kizungu na Wanaijeria sana japo hata Watanzania nao huonekana mara moja moja.
Haya mlioko huko hii ni kweli au ' Mwanamume ' nisiyependa Kusafiri na Kapuku Mimi hapa nimelishwa Tango Pori tena ' mubashara ' kabisa?
Nawasilisha.