Wale Watanzania mliobahatika kuishi nchini Angalo hasa katika Jiji la Luanda hiki tunachoambiwa kuhusu majina ya huko ni ukweli?

Mkuu Gent, hivi ulisema ile njia ya kusini kule kuna sehemu lilipigwa tukio mpaka leo panaitwa "mnduku si mali kitu"?
 
Mkuu mbona umeenda mbali kote huko rudi nyumban Zanzibar mchambawima kumenoga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…