Wale watumiaji wa ndege dude hilo sasa

Mnaobeza subirini, mimi nishaacha utoto, nina imani na nyinyi mkikua mtaacha ....
 
Pole sana Mheshimiwa. Hiyo ni picha ya 2012 na ni ya Boeing 737 siyo bombardier au dreamliner za JPM
Ni kweli mkuu hiyo picha ni ya mwaka 2012 utawala wa JK ulijaribu kuleta ndege hiyo tena tuwe tunakodisha ila tukashindwa kuimudu.
Kimsingi ndege hiyo haipo tena baada ya sisi kushindwa kumudu kuhudumia gharama zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…