Wale watumiaji wa ndege dude hilo sasa

mandojo +domokaya -lowasa +Sumaye respectively wangeweza hata kununua tairi au zingeishia mifukoni... Fikiri.... Chukua hatua
Wewe ni msukule wa lumumba kwani hao unao watukana siwalikuwa viongozi wa taifa la Jamhuri ya muungano wa Tanzania?
 
Kama ingekuwa ni ndege mpya tungesikia hata kabla hsijafika kwa njinsi magu anavyophrnda kiki za kijinga.Hivyo sikweli kama ndege hiyo ipo.Mleta thread anaota usingjzi wa mchana.
 
Wewe ni msukule wa lumumba kwani hao unao watukana siwalikuwa viongozi wa taifa la Jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Msukule gani anaweza kukaa na smartphone hata mamako hana
 
Mbona hauja muita sasa mkuu barafu??
Hakuna kitu hapo...Hiyo ilikuwa ni ndege ya kukodi toka kampuni ya Aerovista UAE,ilikuja March 2012 na ikakatisha mkataba August 2012,watu wakapiga pesa then wakakodisha nyingine toka S-Africa.Enzi hizo pesa ilikuwa inapigwa kwa nja ya "Leasing",tena watu wanafanya ile "Wet Lease"...Kwa kweli ATCL kama kutafunwa tu,basi imetafunwa mpaka kumeng'enywa

AIR Tanzania Company Limited (ATCL) has leased a Boeing 737-500 plane that is expected to arrive in Dar es Salaam on Thursday.


A statement issued by the company on Wednesday said the 108-seater plane has been leased from Aero Vista Dubai and has already undergone airworthiness tests by a team of experts from the Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) in Cairo, Egypt. The statement further said that the aircraft was flown to Cairo from Dubai last week.
 
Lugha kali sana hii GT
I am sorry for that
Kuna watoto humu hawajui kuna wazee pia.
Hiyo ndege ukiangalia ina website na ukiangalia ni kampuni ya Dubai yeye instead of asking akaanza kutukana
 
Hiyo ndege ni 737 mwenye kujua ndege atajua, angalieni mkia wake kwa chini ina mlalo(inclination) ndio typical ya boeing 737 ndege zingine zote haina mlalo huo.
Air tanzania haijaagiza 737 yoyote. wameagiza zingine bombardier q-400(pangaboy), CS300( aina mpya hizi ndege) na dreamliner 787-8 (boeing).

Kama mchangiaji hapo juu alivoeleza ni ndege iliyokodiwa na air Tz mwaka 2012. Tusipotoshe watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…