Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Baada ya Sadio Mane kuporwa goli lake na VAR, eti paja sijui kwapa lake limezidi last defense line humu jukwaani na JF na mitandao mingine imekuwa kimya kabisa.
Mara ya pili hii VAR inasema mchezaji wa Liverpool FC amezidi mstari (ameotea).
Timu yao pendwa imetoka sare na kitimu kidogo. Jamaa wanakamia big 6 tu.
Wakifika kwa timu ndogo na wao wanajigeuza nyanya.
Arsenal huko ndio hali mbaya sana.
Lampard ndio hivyo kauza ramani, wanapigwa tu.
Man City ndio afadhali kidogo kamkamata kuku wake badani kajiandalia kitoweo cha sikuu ya Noel kama Bwashee vile yupo zake Migombani Moshi anakula mdudu mwenye pua ya tarumbeta akishushia mbege.