Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
wrong turn, kuanzia episode 1-6 moja kati ya muvi kali za kutisha nilizowahi kuzitizama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakuta vidume karibu 5 wanamkimbia huyu jamaa mmoja tu 😂wrong turn, kuanzia episode 1-6 moja kati ya muvi kali za kutisha nilizowahi kuzitizama.
View attachment 2943047
... some are just too UNREALISTIC & WITH VERY POOR STORY BACKGROUND!Sijui kwa nini ila filam sikuipenda, niliangali ya pili tu basi, kwa mtindo ule hapana aisee!
Ni mpenzi sana wa movie za hivyo lakini sio wrong turn.
kwanini?Mimi zamani nilikua napenda sana horror movies. Ila the conjuring ilinishinda.
Mmmh hyo ni mwisho wa matatiz ahahahahMimi zamani nilikua napenda sana horror movies. Ila the conjuring ilinishinda.
Drug me to hell naielewa zaidiwrong turn, kuanzia episode 1-6 moja kati ya muvi kali za kutisha nilizowahi kuzitizama.
View attachment 2943047