Naomben msaada wenu mdogo wangu ametahiri tangu mwez wa sita mwanzon (likizo inaanza) mpaka sasa mwez july shule inakaribia kufungua bado kidonda akionyesh dalili ya kupona..naomba mnsaidie dawa gan atumie itakayoweza kukausha kdonda kwa haraka ikiwa bado wiki moja shule ifunguliwe..