Wale wenye bahati zao waliowahi kutongozwa na wadada mje hapa

Kuna sehemu nilikua napiga mzigo kitambo kidogo,akaja demu (Mfanyakazi mpya) mmoja yupo vizuri kimuonekano,basi vidume vikawa vinapishana kila mtu kujaribu bahati yake,

Mimi nikawa busy na kazi yangu tu wala sikua na habari nae,cha ajabu akaja kunitaka mimi niliyekua sina habari nae na kuwatosa waliokua wakimuhangaikia! yaani alijileta mwenyewe kama vile Mbuzi ambavyo hua anajipeleka kwa Chatu.
 
Correct kabisa📌📌
 
hakika
 
Kuna wanawake wanapiga vocal nyieeeee...
Kuna wadada wanajua kutupia nyavu haki wallah..

Niliwahi kupigwa vocal si la mchezo Hadi ikabidi baadae nijikague kwa kugusa mkuyenge Kama upo au nimebadilika jinsia ghafla😅 maana sio kwa zile bembeleza zile ukimjibu "sawa Haina noma " anaona Kama umekataa hivi
 
Mkuyenge upo kwwli... Tuanzie hapo
 
unachosema ni sahihi.....
Mfano kuna group la wasap nipo aisee kuna wadada wazuri tuu na watu hawana habari nao ila huko mitaani watu wanatafuta namba zao kwa udi na uvumba........

anyway, nilishwai kuwa approached once....niligundua kitu kimoja wanawake wanapenda utofauti....
Ktk mazingira niliyokuwepo peke yangu nilikuwa naonekana mcha Mungu....yaani jumapili church lazima, matusi ya rejareja no kumbe kuna kidada kilinipenda..akasubiri mpaka skukuu moja hivi akaniita somewhere akaelezea hisia zake..ila nikakapotezeaga tuuu
 
Usimwache Huyo.
 
Karoge mkuu upate kutembea na kizizi
 
Miongoni mwa tofauti kati ya "Ke" na "Me"ni jinsi tunavyovutiwa na vitu. Wanawake wanavutiwa sana na Parsonality but Wanaume tunavyovutiwa zaidi na "Character"

so mdada ukiwa smart unavaa unapendeza una sim nzuri baaaasi ushamuweza bila kujali unafanya nn, una nn nk. ko kaka kama unataka kutongozwa we anza kushinda kwenye Dressing table afu utanipa mrejesho.
 
Kukapotezea ulikanyanyasa kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…