Wale wenye bahati zao waliowahi kutongozwa na wadada mje hapa

Oohoooo!
Mimi Wakati wa Makuzi yangu nilishatongozwa na Wadada kadhaa, wawili ilikua live mtaani, mchana kweupe Dada anafosi apate majibu yake.....

Mwisho nilikuja kutongozwa na Jini Mahaba, bila kujua, nikamwelewa coz alikua Mrembo haswa, Mwarabu sio Mwarabu, Shombe shombe kama anakataa, alikua Mkali Sana.... Matatizo ndo yakaanzia hapo (ilichukua miaka 10 kuja kujua kuwa Kumbe yule Dada alikua Jini Mahaba ambaye nilimkubalia mwenyewe akiwa katika umbile la Binadamu, Ila cha moto nilikiona)

Asilimia kubwa ya Wadada wanaoowataka Wakaka sio Binadamu, na hawavutiwi na Vitu vinavyoonekana Kwa Macho, wanavutiwa na Vitu vilivyo ndani vinavyoonekana kwenye Ulimwengu wa Kiroho tu....
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ishanitokea zaidi ya Mara moja, kuna hii nikiwa form 1 tukapiga stori na wenzangu Mara kuna Dada Mmoja aliniita. Kuna maswali akawa ananiuliza, alipomaliza nikiwa Nataka kuondoka kuna mwenzake ananiuliza tena jina langu(Alikua f2).
Nilipomtajia akaliandika mkononi huku wenzake wakimtania anataka jina la nn.
Ilipofika mda Wa kutoka ilipofika mda Wa kutoka Alikua nyuma yangu kwa mbali akaniita na kunipungia mkono.
Baada ya hapo siku chache mbele nilikuta na nae nikiwa naelekea darasani akaniambia baadae nimwone kuna kitu anataka kuzungumza na mm. Nilimjibu Sawa ila sikwenda maana Kipindi hicho sikua hata na mambo ya mapenz ( ila kalikua mazuri sana bado nalikumbuka)
 
Wengi wanajirahisisha hivyo huwa ni Vimeo!

Mwanamke alokuzwa kimaadili hawezi jigonga na kuji expose kwa Mwanaume [emoji108]

Hata ikitokea kupenda agharabu atajikaza mpaka itakapokuwa vema kwa mwanaume kuanza kujieleza.

Imeandikwa;

“Enyi binti Sayuni msiyachokoze mapenzi mpaka yatakapoona vyema yenyewe “

Sasa mwanamke anavaa 3/4 uchi anaji expose na kutega wanaume “ invitation to treat” ni ishara ya Umalaya [emoji108]
 
Umeongea pointi sana, wanaume wengi wameshawahi kutongozwa na wanawake bila kujua.

Mimi kuna limama limtu mzima, mtu mzima kama mimi lakini, alikuwa kila akiniona ananitabasamia, mwishowe nikashtukia. Jana tu nimelikula limefurahi kinoma. Hata hela halitaki.
 
Ulimla?🙄 au ulimkataa??
 
Wengi wanajirahisisha hivyo huwa ni Vimeo!
Hapana mkuu, wengine ni decent kabisa. Mimi nakumbuka mwaka 2014 kuna mdada alinitongoza na nilimkuta bikra kabisa. Na alikuwa mcha Mungu sana.
Na hii ndiyo sababu wanawake wengi wanaogopa kutongoza kwa kuhofia kuonekana malaya.
 
Hawa viumbe wakikuamlia hatari sanaa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…