Niendelee tu kutrade forex nikipigwa leo kesho napga . nitafute pesa kwa jasho alaf nmlishe mtu ns mkewe watoto zake wakasome ulaya kwa pesa yangu alaf mm niambulie patupu??? Nawashangaa sana wanaoendelea kuwekeza kwenye hisa Bongo.Minimum shares 100x17=1,700. Mwenye 100,000 shares 100,000x17=1,700,000. Gawio dogo sana hili. Thamani ya hisa kwa sasa ni shs ngapi?
Nadhani soko la hisa bongo kwa sasa ni msiba.
Ha ha ha.. wakati IPO ilifanywa kwa mbwembweHisa haijawahi kumkwamua mtu kiuchumi katika nchi zetu hizi. Labda kama unataka pakutunzia pesa yako tu
Kuna jamaa anauza hisa zake za voda huko kwa bei yoyote na hajapata mteja
kwa walionunua hisa za breweries na sugar pale mwanzoni zilisaidiaHisa haijawahi kumkwamua mtu kiuchumi katika nchi zetu hizi. Labda kama unataka pakutunzia pesa yako tu
Kuna jamaa anauza hisa zake za voda huko kwa bei yoyote na hajapata mteja