Wale wenye kilo 90+ hii ndiyo hali halisi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1101687

Ladies and gentlemen including

Mwili unapoongezeka ni mafuta ndiyo yanaongezeka lakini skeleton structure hub ski ile ile. Hapa ni mfano tu jinsi unavyo over load skeleton.

Sifahamu chochote kuhusu hiyo slim pill, nilitaka picha kumbe imekuja full package.
 
Kama uko tabata au ubungo na unapenda kupunguza mafuta kwa mazoezi nicheki PM nina ratiba ya mazoezi ambayo naimani ukiifuata ndani ya week tatu kitambi kitapungua sana tena Ni bure kabisa bila gharama.sisi tunapenda watu waishi bila kuathirika na haya matatizo ya moyo na pressure...
 
ss mkuu si ungeiweka hapa tupate kuipitia kwa pamoja kwa faida ya wote
 
hivi watu wenye vitambi huwa wanajisikiaje wanapotembea au kulala, si wanajihisi mzigo sana!
 
Kama uko tabata au ubungo na unapenda kupunguza mafuta kwa mazoezi nicheki PM nina ratiba ya mazoezi ambayo naimani ukiifuata ndani ya week tatu kitambi kitapungua sana tena Ni bure kabisa bila gharama.sisi tunapenda watu waishi bila kuathirika na haya matatizo ya moyo na pressure...
Huu ni uongo. Hakuna mazoezi yanayopunguza mwili Duniani. Hakuna.
 
View attachment 1101687
Ladies and gentlemen including

Mwili unapoongezeka ni mafuta ndiyo yanaongezeka lakini skeleton structure hub ski ile ile. Hapa ni mfano tu jinsi unavyo over load skeleton.

Sifahamu chochote kuhusu hiyo slim pill, nilitaka picha kumbe imekuja full package.

Ufahamu chochote kuhusu hii dawa na unataka tuitumie ili tufe au?
 
Back
Top Bottom