Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

Kweli wakubwa mnafaidi yaani unamburuza mtu mpaka anakuja jf kukusifia.
Yaani kuna tym unaona wanapiga misumari ya utosi kabisa kuna boya huma eti baby ake anamuita (mkunaji wangu )
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji27] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa kitu kama hiki utaanzaje kuacha kukisifia kwa mfano
 
Daah Mamamae! Nishaelewa sasa kwanini Tanga kuna kibao cha kukukaribisha tu na hakuna cha kukuaga, ebu Hajar na asogee huku kwa uthibitisho wa brekingi nyuzi hiziπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
yaan hizo p*mbu zako zinawekwa katika kisahani/kisosi cha baridi alafu zinasuguliwa na huo mchanganyiko,, usipokuwa makini utajikuza kaupepo kanakutoka[emoji23],
Na ile khabar naskia nini zile sijui,,aaagh jina limentoka kidogo😎 hua zinawekwa kwenye kisahani sijui ni habari ya kweli ntaikuta nayo!πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,, yaaan we acha tu,, Tanga raha sanaa hasa haya mambo yetu heheheeh,,
Nawagawa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…