Wale wenye ndevu tukutane hapa

Ndio tufoleni hapa; kuna wanaume wenzetu hawana wanaponda ni uchafu.

Na kuna kidada wanazimia watu wenye ndevu zao. Mtazamo wako upi bila kujali jinsia yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
ndevu zinaleta mounekano mzuri kwa mwanaume kama zikiwa na matunoz vizuri nazungumzia sio yale makorokoro wanayoyapaka baber shop ila kunyoa na kuziweka level na kuchana inakua poa sana mkuu mimi ninaenjoy na unaonekana umekua....huwa nikinyoa zote naona kama nimekuwa kitoto sana
 
Ndio tufoleni hapa; kuna wanaume wenzetu hawana wanaponda ni uchafu.

Na kuna kidada wanazimia watu wenye ndevu zao. Mtazamo wako upi bila kujali jinsia yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
halafu ukiwa na ndevu kuwa na mwili kidogo ila ukiwa mwembemeb sana na ndevu au umekonda usoni sana halafu na ndevu duuh inakuwaga noma
 
Ndevu kwa mwanaume ni muhimu sanaa asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…