Wale wenye ndoa zenu ila mpo "single......"

Kuna mmoja alinambia " wewe unaolewa lini? Tafuta hata mwanaume uzae nae, huna mtoto huna mme upo tu, uoni shida kulala mwenyewe ? Au uende kwa mganga ukaogeshwe una gundu?.

Nikamjibu: nikiolewa wewe utafaidika nini? Ntaolewa nikitaka mimi siolewi kwa fashion oleweni nitakuwa wa mwisho.

Kuhusu mtoto nyie mkizaa inatosha.

Kuhusu kwa mganga kuogeshwa nikamwambia sitokaa nikanyage huko, hiyo hela si bora nimtumie mama ale? Kwa mganga na hizo chale nani anikate mwili wangu na viwembe?

Kwani wanaume wamekosa kiasi hicho? Mbona wapo tu wengi?

Haya yote alinambia baada ya yeye kumpeleka mme wake kwao kwaajili ya kuvalishwaa pete. Pete yenyewe alinunua mwenyewe😂😂😂 ila wanawake tunapenda kiboya sana. Baada ya pete mimba kwa sasa wana mtoto.

Baada ya mwaka mara mme wake kafumaniwa na mke wa mtu, mara police, mara mke alofumaniwa nae kakutwa amekufa, kesi kibao.maisha yamebadilika.

Mara nikopeshe hela, nilivyo na roho ya kipumbavu nikampa,ina miezi 3 hajarudisha sasa hivi hatuongei hapokei simu, nasikia kashauza hadi tv.

Dear wenye ndoa zenu, muolewe kimya kimya sio kutunanga, sisi tutaolewa tukitaka, tangulieni tutawafata.sio kwamba hatutaki ila wakati wa mungu haujafika.

Nb.ndoa iheshimiwe na kila mmoja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeandika kimzahamzaha lakini unamaanisha na ina maana kubwa sana

Ushauri murua "Mjipige kifua mara tatu...... mfanye maamuzi na mapinduzi ya mwaka 2022."

Uwe na mwaka mpya wenye baraka na mafanikio tele
Asante, heri ya mwaka mpya!!
 
ila kiroho kinauma...

kampani ya wanawake wenzio ni tofauti na kampani ya mpenzi/mwenza/mumeo....

attention ya wanawake wenzio ni tofauti na ile anayokupa mwenza wako.........

hizo empire angalau watoto watafaidi ila kuna raha yake mwenza wako akiappriciate

kiufupi mahaba yana raha yake aisee...........

na sio kukaza roho na kutafuta kitu kingine cha kujifurahishia kwa kuwa "mwenzako" yupo busy na "mwenzake"
 
You don't find love by taking your self out, going for shopping or by building an empire. They are not even close to being a substitute.

I think wee need to fix and repair our broken ways. And for the broken fellas that can't be fixed, replace them.

An empire without love, is an empire of chaos. Even shopping ain't fun, if your partner is a pain in the ass. And after taking yourself out, you'll have to come back home, where your broken fella awaits.

You can't build a family where everyone seeks refuge out there on their own. We need families built on a firm foundation of LOVE. A family where you know your partner and other family members got your back.

So here is my two cents, fix your broken nigga, or replace him. Self love is a myth!
 
Uzi ungeleta maana nzuri iwapo hao wanandoa wangewashauriwa wamalize mwaka kwa kupatana au kuachana kabisa.

Ila naona mtoa mada umeishia kuwazodoa tu hivyo hakuna cha kujifunza kwa sisi tunaotamani kuja kuoa
 
Wow... you're indeed a smart ghost

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Chukua Pepsi kwa muha hapo ujilipie mwenyewe

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…