Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Sio Applied kwa wote, Kuna wengine huwa hawataki hayo maswala. Utapata tabu bure.
 
Mkuu unakunywa bia gani? Au wewe unapenda soda au maji?

Huo ndo uungwana.Hawanaga shida hawa ukiwaheshimu na kuwapa thamani. Pale akiwa free atakupa mpaka mwenyewe ukimbie
I support this, ila nina reservation pia soma saikolojia ya mgeni wako na angalia attachment ya urafiki wenu mimi sisubiri kupewa bure i talk, i convince, I persuade, I use eyes and soul na roho mtakatifu wa mazingira kuuza mechi ni kosa kubwa pia
 
😂
3sum ikatamalaki !
 
Your Right
 
Kila mwanamke akija ukawa unakula tunda sio uanaume na kutokula tunda sio Ushoga, Kama magonjwa ya zinaa na ukimwi ni uanaume basi sawa[emoji23]
[emoji23][emoji23] mkuu ukimwi unaingiaje hapa.
Suala n unalalaje mpaka asubuh bila ku pachupachu??... Kwanza dem atakuelewaje?, mana wengine tuko na madem ambao bila kumpachupachu hakuelewi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…