Wale wenzangu wa mwanamke uzuri, nidhamu shule. Pitieni hapa

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Je, Wajua Kuwa Haya Ndio Makabila Yenye Wanawake Wazuri (Warembo) Tanzania[emoji1241] ?

1.Wambulu (Manyara)[emoji1241]
2. Warangi (Kondoa)[emoji1241]
3.Wanyiramba (Singida)[emoji1241]
4. Wanyaturu (Singida)[emoji1241]
5. Wahaya (Bukoba)[emoji1241]
6. Wanyakyusa (Mbeya)[emoji1241]
7.Wapare (Kirimanjaro)[emoji1241]
8.Wachaga (Kirimanjaro)?
 
wambulu wanapaishwa sana, ila me wengi wanapenda ke weupe kwahiyo poa, wambulu, wanyaturu wataongoza

mimi naomba niwasifie wasukuma aisee, kule kuna pisi
Kuna chuma za kimbulu zimekamilika mkuu achana na weupe tu , wana nywele ndefu ,nyuso nyembamba na vipua vya kuchongoka , labda kwa dada zetu wachaga mtoa mada awatoe apo.

Ila chuma za kisukuma ni za moto sio mchezo , pia kuna wanyambo wa bukoba.
 
Hamn kabila la wambulu ila kuna wilaya inaitwa mbulu
 
Ngoja ntafute safar ya kwenda Singida.
 
Hadi wachaga wamewazidi wasukuma?!
 
tafsiri ya uzuri kwanza tafadhali
na hao namba 8 wameingiaje kwenye iyo list?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…