Wale wenzangu wana bcbg tukutane hapa

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
4,236
Reaction score
5,907
Najua wengi mwaijua bendi hii kitambo kile ilisheheni watu wa kazi kama Jb mpiana werason ngiama makanda aime buangwa toto karonji buleise bula alein makaba alien mpela Mali pool didie masera Adolf domingwezi kilinton japones nk hebu jamani wahenga Kama mnazo ngoma Kama filandu dijojo ngonda masua paptomala nanyingine nyingi tubuludike
 
Mbona unawazungumzia km vile bado wako pamoja, uliowayaja wote walishaanzisha bendi zao na Kati ya hao naona wawili ndo wako na nyota zaidi, werrason na jb mpiana wengine naona wanasuasua.
 
Mbona unawazungumzia km vile bado wako pamoja, uliowayaja wote walishaanzisha bendi zao na Kati ya hao naona wawili ndo wako na nyota zaidi, werrason na jb mpiana wengine naona wanasuasua.
tuwakumbuke angalau tujue tujikumbushe walifanya nini na wanafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…