kaka suala hilo naomba uwe mpole kwa sababu bodi wanaanza kwanza na hawa waliomaliza kuanzia mwaka 2010 baada ya hapo walimu na wanaosoma sayansi alafu ndio wewe watakufikiria kama mkopo utabaki, mwombe mungu wako atakusaidia....aixeee vp bana habar ya wanachuo wanaoendelea na maxomo, ambao walikoxa mkopo mwaka jana na hvyo wakafanya uamuz wa kuomba upya mwaka huu?!... hatima yao ikoje bana?!...
vp kama upo ndani ya mkopo kwa miaka miwili ilyopita ila dis yr umechelewa kuomba, ukienda sa hizi kuomba utakubaliwa au too late?