Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Ndugu wana jf kwasasa duniani madikteta yanatoweka ila Kuna yanayozaliwa upya hususan afrika sasa kama unajiona hauko salama kutoa maoni na mawazo yako huko wasap njoo tuyamwage humu na pia tupeane mbinu za kuwaepuka ma infoma wa mitandao ya kijamii wanaoturipoti kwa madikteta ya duniani
Pia tupeane maarifa yà kuwaepuka mainfoma wa madikteta wa afrika ambao hawakawii kukuteka au kukunyakua kimya kimya pia tupe kama una info ya member yoyote wa wasap popote duniani ulipo na kundi LA wasap ambaye unahisi maoni yake ya wasap yamemponza
Kumbuka bosi wa intapo duniani haonekani wewe ninani tusaiduane kuwaepuka madikteta hatari wa afrika na duniani wanaojinasibu wema kumbe wauwaji
Karibuni wahanga wa makundi ya wasap duniani