Wale wote tunaotumia Infinix S4 tujuane hapa

Wale wote tunaotumia Infinix S4 tujuane hapa

beka the boy

Senior Member
Joined
Nov 6, 2018
Posts
167
Reaction score
97
Husika na mada tajwa hapo juu,wahusika tujua kwa ajili ya kuweza kupeana maujanja ya hapa na pale
Screenshot_20190724-180514.jpeg
 
Sasa mkuu maujanja ya infinix ndio hayo ya game au? Anyway wenzio naona wamekususia Uzi [emoji16][emoji16]
 
3gb ram., 32gb internal mem,, 4g, 9android, na mengine mengi tu, inauzwa 310000 kwa bei ya jumla, ukiingia china plaza unauziwa 600000.
Wewe muongo haiwezi kuwa interval kama hiyo kwa bei ya Jumla.
 
Kuna mtu kanunua jana i simu kakuta simu ina ram 1.4 kafwctory reset bado vile vile.kumaanisha apps zimekula Ram spce yote [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]izi simu za ukoo mmoja na tecno bhana
3gb ram., 32gb internal mem,, 4g, 9android, na mengine mengi tu, inauzwa 310000 kwa bei ya jumla, ukiingia china plaza unauziwa 600000.
 
Back
Top Bottom