Wale wote tunaotumia Infinix S4 tujuane hapa

Kuna mtu kanunua jana i simu kakuta simu ina ram 1.4 kafwctory reset bado vile vile.kumaanisha apps zimekula Ram spce yote [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]izi simu za ukoo mmoja na tecno bhana
Infinix,tecno,oppo,xiaomi zote hakuna smu. Natumia infinix ila mateso ninayopata basi tu huu mwaka wa mwisho bora nipate hata nokia kitochi tu
 
Wadau kuna mtu aliyewahi kutumia simu aina ya xioami naomba mrejesho nataka kufahamu ubora wake na changamoto zake.
 
hapa nilipo niko na infinix smart na inapiga mzigo tangu asubuhi na haijapata moto... Na lazima utambue simu kupata moto kuna mahusiano makubwa na charging system na battery
Ndugu Mshana sijawahi amini kama zipo za kichina OG naona zote ni feki tu. Smu inapata moto hadi natamani nivae gloves zile nene za kutolea vyombo kwenye oven
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…