Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mi 8 kwa Bongo sijui ni bei gani, pia online kuzipata ni shida kidogo kwa sasa, labda upate mtu kutoka China su India akuchukulie kwenye Mi Store.
Bei ya Redmi Note 7 inategemeana na storage na rangi ya simu, sijui wewe unahitaji ipi?!
Redmi Note 7 Pro Ram 4Gb 32Gb/64Gb bei gani.?
 
Hv kule AliExpress pale kwenye Address chini walipoandika APT, SUITE UNit unajaza nni?
 
Mwanzoni nilikuwa natumia Mi 5c,kulikuwa na themes za iphone ambapo nilikuwa niki set zinabadili hadi zile icon za network ila kwa sasa natumia RN7,naona nikibadili themes zile icon za network zinabaki vile vile,vipi wakuu au hizi RN7 hazina uwezo huo?
 
Huenda mkuu sina uhakika
 
Sasa kwanini unapenda iphone alafu unanunua RN7 boss wangu hapo bado haujakuwa tofauti inabidi tu utumie iphone boss wangu ili upate kitu roho inapenda.
 
Hakuna sehemu niliyosema napenda iphone nimesema napenda themes za iphone au kama kunasehemu nimeandika napenda iphone hebu nionyeshe
Sasa kwanini unapenda iphone alafu unanunua RN7 boss wangu hapo bado haujakuwa tofauti inabidi tu utumie iphone boss wangu ili upate kitu roho inapenda.
 
Hakuna sehemu niliyosema napenda iphone nimesema napenda themes za iphone au kama kunasehemu nimeandika napenda iphone hebu nionyeshe
Teh hupendi Nyama nyekundu ila ila mchuzi wake unaupenda anyway naamini ni uamuzi wako wala sikuwa katika lengo la kukupangia kiongozi nini ufanye au nini upende tuendeleze uzi wetu pendwa wa MI🙏
 
Poa kiongozi, hii RN7 wala sijutii kuinunua na najuta kwanini nilichelewa kuifahamu.Mimi nimshabiki wa liverpool ila nikiona everton wametoa jezi nzuri sana nanunua wala hamna shida japo sijawahi kuipenda everton,
Teh hupendi Nyama nyekundu ila ila mchuzi wake unaupenda anyway naamini ni uamuzi wako wala sikuwa katika lengo la kukupangia kiongozi nini ufanye au nini upende tuendeleze uzi wetu pendwa wa MI[emoji120]
 
Wakuu ,nina swali ,hapo inamaanisha mzigo ushafika Mkoani huku POSTA??
Mnieleweshe kidogo wazoefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…