Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kuna percel yangu moja nilinunua na nikatumia shiping method ya mda mrefu, nw naona kesho ndio ile maxmum ya uliowekwa inafika. Na hakuna mzigo wowote thaman ya mzigo wenyewe ni shilings mbili elfu tu je niopen dispute au
 
Hapo muda ukiisha ni ku open tu mkuu, atume tena au akupe tu pesa yako.
 
Nahitaji Xiaomi kuagiza nje..ushauri nahitaji mbili za price ya chini zenye ubora
 
Kuna percel yangu moja nilinunua na nikatumia shiping method ya mda mrefu, nw naona kesho ndio ile maxmum ya uliowekwa inafika. Na hakuna mzigo wowote thaman ya mzigo wenyewe ni shilings mbili elfu tu je niopen dispute au
Kuna kama week mbili tena za kusubiri
 
Wadau baada ya kufanya malipo huwa inachukua mda gani seller aanze kutuma mzigo??

NB:ndo mieagiza mzigo wangu was kwanza kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…