Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ni simu ambayo nimebahatika kuitumia kwa muda kidogo, kwa bei yake hautojutia kuimiliki, ipo vizuri kuanzia kwenye performance kwa mid users, build quality pia camera nzuri kwa bei hiyo naona ni bora sana. Kwa watu waliozoea hizi simu pendwa za Tekno wakiiona lazima udenda uwatoke yaani kila mtu alikuwa akiiona anauliza hii ni simu gani?? Na wanaazima wapigie picha. Hautojutia hakika! Kwenye Mapungufu yapo ila kwa bei hiyo naweza kusema haina mapungufu.
 
Mkuu nipo nje ya mada kidogo
Hiyo font nimeipenda inaitwaje?
Umeipata wapi?
 
Nielekeze mkuu kama hutojali
Kukuelekeza ni mlolongo mrefu kidogo.
Cha kufanya ingia mtandaoni andika how to use Samsung fonts on Xiaomi phones watakuelekeza A-Z, nami nilisoma mtandaoni tu
 
naona ni chinese ROM haisumbui google play store?
 
Vp tracking ya RB?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…