Mkuu tupe mrejesho, vipi mzigo uliupata?! Na je ulilipa kiasi gani TRA?!Nimefanikiwa kupata declaration kwenye feedback
Ila sijajua kama nisubiri hadi wanitumie msg kama posta au niende nikachukue hivyo hivyo maana mzigo wameuteka tangu tarehe 4 mwezi huu
Iko fresh kila kitu nilikua naitumia.naona ni chinese ROM haisumbui google play store?
Mkuu tupe mrejesho, vipi mzigo uliupata?! Na je ulilipa kiasi gani TRA?!
Njooo pm inatokajamani naomba mtalaamu anaeweza kuunlock redmi note 6 pro iliyolocked na mi account mafundi wa mwanza wameshindwa, namba yangu 0765682453 nipo mwanza
Sawa Mkuu. Utatujuza zaidiNilienda posta wakasema nisubiri hadi nitumiwe msg, nikasema mzigo unasoma uko chini ya TRA wakasema wao bado hawajaupokea toka TRA hivyo nisubiri nikitumiwa msg niende nikachukue mzigo wangu palepale Posta
So now niko nasubiri nipate hiyo msg.. track no. Inasoma mzigo uko chini ya Customs tangu tarehe 4 mwezi huu..
Gharama sijui watanicharge Bei ngapi maana sijawahi pokea mzigo wenye track no. Inayosoma "mzigo uko chini ya customs"
Mzigo ni smartphone
Tracking inaonesha order completed maana yake nini?Naomba Muongozo hapa.
Niliagiza mzigo tangia mwezi wa nane lakini mpaka saiz sijaupokea posta.
Zilipofika siku 48 seller aliextend purhase protection saiz zimebaki siku 29 baada ya kuongeza hiyo purchase protection.
Tracking inasomeka hivo.
Je kuna uwezekano wa kupokea huo mzigo au ndo nimepigwa?View attachment 1227613
Naomba Muongozo hapa.

Hao Yanwe ni nyoko mamaeeee zao. Utaupata ila kwa kuchelewa sana
Hao Yanwe ni nyoko mamaeeee zao. Utaupata ila kwa kuchelewa sana
Itachukua muda gani mkuu maana saiz zimeshafika siku 60
Wahuni tu hawa..hesabu November hapo!Naomba Muongozo hapa.
Niliagiza mzigo tangia mwezi wa nane lakini mpaka saiz sijaupokea posta.
Zilipofika siku 48 seller aliextend purhase protection saiz zimebaki siku 29 baada ya kuongeza hiyo purchase protection.
Tracking inasomeka hivo.
Je kuna uwezekano wa kupokea huo mzigo au ndo nimepigwa?View attachment 1227613
Hapo mimi huwa sina mjadala na gonga OPEN DISPUTE.Naomba Muongozo hapa.
Niliagiza mzigo tangia mwezi wa nane lakini mpaka saiz sijaupokea posta.
Zilipofika siku 48 seller aliextend purhase protection saiz zimebaki siku 29 baada ya kuongeza hiyo purchase protection.
Tracking inasomeka hivo.
Je kuna uwezekano wa kupokea huo mzigo au ndo nimepigwa?View attachment 1227613
Kwa uzoefu wangu Hao jamaa wanafikiSha mzigo ndani ya siku 40 au hata 60 nishawahi kuopen dispute kama mara 3 hivi baada ya kuona protection time inakaribia ukingoni.Hapo mimi huwa sina mjadala na gonga OPEN DISPUTE.
Hata kama ni buku mbili. Purchase protection ikiisha sijui utaanza kumdai nani zaidi ya kuwa na matumaini tu kuwa mzigo utafika ila hujui ni lini.
Je umeenda kucheck posta?Tracking inaonesha order completed maana yake nini?
Je umeenda kucheck posta?
Hao jamaa nyoko sana yaani ukishaagiza yabidi upotezee tu pia wana tabia ya kuchange tracking number.
Mi kunakipindi niliagiza nikapewa tracking number S00000050872494 Kila niki track Hola ila nikajua kukuta parcel posta imekuja kwa tracking nyingine kabisa LP004070011TZ
Hiyo tracking number ni ya Tz so ilitolewa na posta.Je umeenda kucheck posta?
Hao jamaa nyoko sana yaani ukishaagiza yabidi upotezee tu pia wana tabia ya kuchange tracking number.
Mi kunakipindi niliagiza nikapewa tracking number S00000050872494 Kila niki track Hola ila nikajua kukuta parcel posta imekuja kwa tracking nyingine kabisa LP004070011TZ
Yule seller alie ni refund, mzigo ukafika miezi kadhaa mbele, imebidi niagize mzigo mwingine na bei ilikuwa imeshuka kidogo. Then baada ya siku kama saba nika confirm kuwa nime pata mzigo.Kwa uzoefu wangu Hao jamaa wanafikiSha mzigo ndani ya siku 40 au hata 60 nishawahi kuopen dispute kama mara 3 hivi baada ya kuona protection time inakaribia ukingoni.
Mara zote Nilipata refund then baada ya wiki 2-4 mzigo huoo so ikabidi niwalipe upya.
Ndo inavyoonekana ila sijaelewa why posta tz wabandike sticker yenye tracking nisiyoijua ambayo ni tofauti kabisa na Ile niliyopewa na Seller?Hiyo tracking number ni ya Tz so ilitolewa na posta.
Sawa Mkuu. Utatujuza zaidi