Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Daah mkuu inamaana seĺler hajakutumia pdf attachment via email?
Au alikuwa hatoi ushirikiano??
** Muhimu tusisitize seller anapotuma mzigo akutumie kabisa declaration value maana hawajamaa wa TRA midà mingine wanakomoa.
Baadae nitaweka attachment hapa
 
Mkuu huyo fantacy hajareply hadi leo msg yangu, nilimuombea tangu tarehe 4 Oct
Sasa nikaona bora nikachukue hivyohivyo
 
Alafu hajaweka glass porotecter wakati niliadd
Nifanyeje nipate porotecter mkuu
 
Alafu hajaweka glass porotecter wakati niliadd
Nifanyeje nipate porotecter mkuu
Piga picha ya vyote ulivyopata kama evidence then fungua dispute akurefund.
Wakati unasubiria ağiza protector kwa sellers wengine.
Kama mtakubaliana usubiri akutumie fantancy hiyo ni juu yako
 
Dah gharama ya shipping tena juu yangu
Asante kwa ushauri ndugu
Piga picha ya vyote ulivyopata kama evidence then fungua dispute akurefund.
Wakati unasubiria ağiza protector kwa sellers wengine.
Kama mtakubaliana usubiri akutumie fantancy hiyo ni juu yako
 
Daah nikiona hii habar nawaza sanaa maana nimetok kulipia sim iko njian aisee sijui nitawaepukaje hao jamaa,,

Em tupeane maujanja wadau.
 
Hii Sasa ishakua taabu!

Hivi Bongo ni maduka gani wanauza hizi Xiaomi,maana ukishalipia hizo Kodi Bei inakua sawa tu na utakayokua umenunulia hapahapa.
 
Aisee Pole Mkuu.

Ila hawa jamaa wapunguze Kodi ili watu wapende kulipa kodi,21% ni parefu sana
 
Hiyo kodi ulipewa control namba ya kulipia?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…