BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Wakuu nataka nichukue hii vipi bei iko Sawa na simu. Maana naona seller wengine bei zao juu. View attachment 1229565
Tupe sababu mkuu.
Pia hata camera, display, mi9 lite ipo vizuri. Pia ni cheap ukilinganisha na 9 SE.Nimeona hii 9t inaizidi 9 se kwenye performance na Betri
Bei hazitofautiani sana
Naona 9t itanifaa
Ila mkuu hii redmi K20 unaonaje
Na vipi mi A3
India MkuuMkuu hii Ni India au China
Kabla hujaagiza hiyo simu jiulize swali unajua tofauti ya GLOBAL ROM na GLOBAL VERSION.Wakuu nataka nichukue hii vipi bei iko Sawa na simu. Maana naona seller wengine bei zao juu. View attachment 1229565
Mmmh fafanua zaidi mkuu.Kabla hujaagiza hiyo simu jiulize swali unajua tofauti ya GLOBAL ROM na GLOBAL VERSION.
Wanakata Kulingana na bei ya mzigo soma hiyo form hapo juu kuna makato tofautitofauti
Tena wahudumu wanakazia uwaoneshe Bei halisi toka AliExpress
Kuna mwamba nimekuta kapokea Redmi note 7, wakamkazia... akawaambia nina simu kitochi nashindwa kuwaonesha!!?
Wakamwambia tuambie Bei halisi... akataja laki 2,
wakamwambia tupe Bei halisi hiyo haiwezekani...! Mwisho Wakakubali walipotajiwa laki 3
Kabla hujaagiza hiyo simu jiulize swali unajua tofauti ya GLOBAL ROM na GLOBAL VERSION.
Simu zenye sticker ya Global Rom ni simu ambazo zilikuwa Chinese Version waka zi flash na kuziwekea global Rom ndio maana hata bei zake zipo chini kidogo. ie ikija waweza kuta imeshafunguliwa kwenye boksi)Ufafanuzi hapo tafadhali,maana kuna MTU anataka kuagiza mi A3 na redmi note 8 ambayo ni GLOBAL ROM,
Nisaidieni kati ya hizo IPI ni nzuri zaidi?
Na hiyo yenye global ROM inakuaje
Asante
Simu zenye sticker ya Global Rom ni simu ambazo zikiwa Chinese Version waka zi flash na kuziwekea global Rom ndio maana hata bei zake zipo chini kidogo. ie ikija waweza kuta imeshafunguliwa kwenye boksi)
Global version ni simu ambazo zina kuwa na rom ambayo ni global kutoka kiwandani moja kwa moja. Zinakuwa na bei ya juu kidogo ( ukiagiza inakuja ikiwa haijafunguliwa kwenye boksi lake)
Bila kupepesa mkuu kamata Mi A3.Asante sana,
Je ni ipi nzuri kati ya mi a3 na note 8
Bila kupepesa mkuu kamata Mi A3.
Imeipita vingi note 8.
Ambacho utakosa kwenye Mi A3 ni features za MIUI.
Mimi nilitumia Mi A1 ni Android tu ya kawaida ( ANDROID PLAIN ) unakutana na pre installed app za Google tu...Mkuu kwani hiyo system ya ANDROID ONE inaizidi nini MIUI
Mi A3 (4GB & 128 GB)Kwa budget ya 550K naweza pata xiaomi model ipi nzuri
Simu zenye sticker ya Global Rom ni simu ambazo zikiwa Chinese Version waka zi flash na kuziwekea global Rom ndio maana hata bei zake zipo chini kidogo. ie ikija waweza kuta imeshafunguliwa kwenye boksi)
Global version ni simu ambazo zina kuwa na rom ambayo ni global kutoka kiwandani moja kwa moja. Zinakuwa na bei ya juu kidogo ( ukiagiza inakuja ikiwa haijafunguliwa kwenye boksi lake)
Bila kupepesa mkuu kamata Mi A3.
Imeipita vingi note 8.
Ambacho utakosa kwenye Mi A3 ni features za MIUI.
Hiyo ni Samsung font.
Namna ya kuiweka inahitaji mautundu kidogo