Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kwenye kuagiza tuna save mkwanja mwingi, ukilinganisha na bei wanazouza kwenye local stores. Kusubiria ndio changamoto ila sio kubwa sana kwani 2-4 weeks ni siku chache sana kwangu.
 
Kwenye kuagiza tuna save mkwanja mwingi, ukilinganisha na bei wanazouza kwenye local stores. Kusubiria ndio changamoto ila sio kubwa sana kwani 2-4 weeks ni siku chache sana kwangu.
Haizidi mwezi?
 
Mkuu ni nini tofauti ya hizi redmi na hizi za Mi?
utofauti wake ni series tu...kuna series za Mi ambapo kuna Mi 1 mpka saiv kuna Mi 6...kuna series za redmi pia ambapo kuna redmi 1 , redmi note, pia kuna series ya Mi Mix
saiv kuna series ya Mi A
 
utofauti wake ni series tu...kuna series za Mi ambapo kuna Mi 1 mpka saiv kuna Mi 6...kuna series za redmi pia ambapo kuna redmi 1 , redmi note, pia kuna series ya Mi Mix
saiv kuna series ya Mi A
Mkuu samahan, hzo redmi note zinakuwa na pen?
 
kwa wale tunaotumia xiaomi naomba niwape kitu kizur sana kitakachobadlsha muonekano wa simu yako uzidi kuipenda...kuna theme moja inaitwa Small town NY...i recommend this and i promise u won't regret downloading it kutoka built in theme app katika simu zetu
 
Kweli ni Nzuri kinoma dah kuna app moja yaku Dizain themes uitakayo kwa xiaom ila mimi mvivu
 
Baba nmeiona hiyo theme ni nomaa ....thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…