Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

BORA KUNUNUA SIMU DUKANI KULIKO KUAGIZA ONLINE
NIMEPOTEZA HELA NYINGI
Mkuu pandagichiza hua sikuelew elew maamuzi yako, hii Michezo ya online purchase soon game ndogo ni wachache tunaowexa kusotea au kam washindwa ni vyema ukamwamini mtu anayefanya huduma hio ukapat stahiki yako. Nimekua nikikuona mara nyingi ukizungumzia malengo yako ya kuagiza vitu na ukawa unaomba ushauri na tricks, Leo unasema tena ukanunue dukani nenda tu bouy kanunue spark 3
 
Nimeingia, wameniletea hii hapa mkuu hebu nifafanulie hapo
 
Kwanza niliagiza simu nokia c2-02 nimetumia haikumaliza hata mwezi ikaharibika zimezunguka kwa mafundi sijapata solution.
Nikaagiza vitu vingine havikufika nikadai refund nikarudishiwa hela yangu.
Nikaagiza tena kabla hazijafika nimelog in nimekuta information zote zimefutika, maana yake siwezi ku track,kudai refund etc
 
Pole mkuu
Hata Kariakoo ukinunua zinaharibika
Ila mwenzetu umeanza vibaya
Mimi huniambii kitu mtandaoni ndo napata kitu roho inataka
Maana kabla sijaoda naangalia maoni ya wanunuzi waliopita
Hapo lazima niibuke mshindi

Kwa sasa Kariakoo hunipeleki
Kwanza niliagiza simu nokia c2-02 nimetumia haikumaliza hata mwezi ikaharibika zimezunguka kwa
 
Pole mkuu
Hata Kariakoo ukinunua zinaharibika
Ila mwenzetu umeanza vibaya
Mimi huniambii kitu mtandaoni ndo napata kitu roho inataka
Maana kabla sijaoda naangalia maoni ya wanunuzi waliopita
Hapo lazima niibuke mshindi

Kwa sasa Kariakoo hunipeleki
Mkuu nawewe si juzitu ulikua unalia kuhusu kupigwa pesa na voda, hujakoma tu till nw?
 
Ndo tunaita kupevuka huko mkuu, sio kila siku utachekelea mambo laini
Pesa zimerudishwa juzi jioni
Juzi hiyohiyo nikazama China nikaibuka na Mi 9t 6GB/128GB

Hapa nipo nasubiri ifike, sina presha kabisa kama nimetoka gengeni kununua nyanya vile

Inaendaje hio mdogo wangu itakapofika pia, kabla ya ku unbox plz utaangalia pm yako utakuta namba yangu hapo kama mwanzisha uzi uniwekee chochote kizidi kunijenga kwa huu uzi wangu
 
[emoji23][emoji23] Mwanzisha uzi unasahaulika sana unaacha wachina wanachukua point zote

320 USD mkuu mwendo wa DHL [emoji28]
Inaendaje hio mdogo wangu itakapofika pia, kabla ya ku unbox plz utaangalia pm yako utakuta namba yangu hapo kama mwanzisha uzi uniwekee chochote kizidi kunijenga kwa huu uzi wangu
 
Aliexpres agiza brand new tu maana used/refubrished hazipo vizuri kule.
 
AliExpress wanampa mteja nafasi ya kudai refund pindi imeharibika muda flani. Mimi kununua vitu online ndio kunaniweka mjini sasa. Fuata utaratibu mkuu kilakitu kinawezekana baadae Tanzania tuhamia kwenye iyo mifumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…