Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ur tricky useful asante
 
Tukumbushane shipping methods mzuri ili wageni wasipate shida, maana uzi umetembea sana.
 
Asee kuna parcel nimeagiza lkn naambiwa mpaka leo ipo airplane [emoji27][emoji27]kama siku ya nne .View attachment 1286834
[emoji117]Pia sio kila tracking number ipo hai mizigo mingine tracking number hufika sehemu ina ganda hapo hadi siku unaitwa posta kuchukua mzigo wako.

[emoji117]Pia update ni ya tarehe saba leo ni tarehe tisa ni muda mchache sana kuwa na subira mkuu.
Mzigo kukubaliwa na ndege haimaanishi ndio umeshaondoka. Lazima usubiri ratiba ya hiyo ndege hadi siku inayo ondoka.

Online business inahitaji uvumilivu sana mkuu.
 
kuna watanzania Wenzenu tupo china tunafanya hizi mishe za kutuma simu nadhani ni njia sahihi na isio na usumbufu N.b agiza kwa mtu unaemfahamu
 
Asee kuna parcel nimeagiza lkn naambiwa mpaka leo ipo airplane [emoji27][emoji27]kama siku ya nne .View attachment 1286834
Hii baada ya miezi 2 ndo utapata percel yako..! Mzigo utafika tu usiwaze ila shipping method uliyotumia ni kichomi haileti currently updates tracking number inaganda tu... Utaishia kuona tu ivoivo Airplanes
 
Xiomi inakuja bila hata app moja ya Google? Oppo pia nadhani ina tabia kama hii sasa sijajua kama inasapoti google apps
 
Pitia hiyo post @jokamala
Xiomi inakuja bila hata app moja ya Google? Oppo pia nadhani ina tabia kama hii sasa sijajua kama inasapoti google apps
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…