Hapo kilichobaki ni kuwasusia huduma zao na kurudi Bancabc na Equity maana imeshakuwa shida sasaHawa M-PESA MasterCard ambao ndiyo njia rahisi kufanyia manunuzi miongoni mwetu, naona wameanza kuzingua au wanafanya makusudi ili watuibie kiaina!!
Imenitokea zaidi ya Mara mbili kuhamisha pesa kutoka card kwenda M-PESA ila cha ajabu hela inakatwa kwenye card lakini haiingii kwenye M-PESA.
Singapore postHaina namna mzigo wenyewe umenicost pesa Jumla 37K so mbaya wacha nikae kimya ... Ni Post gani nzuri kuagizia mzigo .
Hawa M-PESA MasterCard ambao ndiyo njia rahisi kufanyia manunuzi miongoni mwetu, naona wameanza kuzingua au wanafanya makusudi ili watuibie kiaina!!
Imenitokea zaidi ya Mara mbili kuhamisha pesa kutoka card kwenda M-PESA ila cha ajabu hela inakatwa kwenye card lakini haiingii kwenye M-PESA.
Inaelekea system yao ina mushkeli nimeamua kitoa hela zilizobaki cha ajabu wamezilima na M-PESA hazijaingia.Haha, jamaa nimewaacha kitambo sana... sahivi nipo na exim, bancabc na equity kwa miamala ya PayPal.
Sent using Jamii Forums mobile app
😳Usingeenda na simu,,[emoji16]
Huo ni wizi wa kimacho macho!!Inaelekea system yao ina mushkeli nimeamua kitoa hela zilizobaki cha ajabu wamezilima na M-PESA hazijaingia.
Kwakwelili siwaelewi
Jamaa hajibu,hata mm nimenunua hyo note 8 tar 6 nilituma sms mpaka leo kimyaNimeagiza Redmi note 8 kwa Fantacy ila msg zangu za kuomba invoice declaration hajibu tangu jana 🙁
Nishakaribia. Unajua my first Xiaomi Ecosystem Products nilinunua mwaka 2013? Haha!
Nishakaribia. Unajua my first Xiaomi Ecosystem Products nilinunua mwaka 2013? Haha!
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi kasha ship mzigo au bado???Jamaa hajibu,hata mm nimenunua hyo note 8 tar 6 nilituma sms mpaka leo kimya
Labda anawateja wengi
Halafu dxpected delivery ni siku 43 -60
BADOvipi kasha ship mzigo au bado???
duh basi anazingua....nilitaka kuagiza kwa MI FRANCE ila nikaona bei zake kubwa kimtindoBADO