Naona pamedoda humu !!
Au ndiyo mambo ya mapumziko ya kufungua mwaka?
nmefurah kutambua uwepo wa huu uzi kumbe watumiaji wa xiaomi ni wengi ...basi ntawaletea Mi dots na Mi band 4 kwa bei chee hope mtanisupport
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tuwekee matangazonmefurah kutambua uwepo wa huu uzi kumbe watumiaji wa xiaomi ni wengi ...basi ntawaletea Mi dots na Mi band 4 kwa bei chee hope mtanisupport
Sent from my iPhone using JamiiForums
Daah hii kitu itakuwa yebo yebo sasa....Habari zenu ndugu zangu.
Naona mabango ya Redmi note 8 mjini , Ina maana Xiaomi washaingia mjini jumla jumla ? ....
Sent using Jamii Forums mobile app
zinauzwajeHabari zenu ndugu zangu.
Naona mabango ya Redmi note 8 mjini , Ina maana Xiaomi washaingia mjini jumla jumla ? ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja waje kukupa muongozoAcheni kutumia takataka za kichina. Simu ni Samsung na iphone tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kuna ule uzi wa iPhone na Samsung pia utakufaa manake hata kuandika huku kisichokuhusu n takataka pia.Acheni kutumia takataka za kichina. Simu ni Samsung na iphone tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kutumia takataka. Nunua simu ya Maana. Samsung wanazo midrage nzuri za bei itakayowafaa kama hamuwezi kuafford flagship phones [emoji23]Nenda kuna ule uzi wa iPhone na Samsung pia utakufaa manake hata kuandika huku kisichokuhusu n takataka pia.