The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Cheap but boring in some terms!Natumia redmi note 8
Hizi simu nadhani hazikubali screen mirroring kwa kutumia application
Ina option ya "cast" lakini haiko vizuri ina scratch
Mpaka naikumbuka galaxy s6 yangu nilikuwa nacheki mechi bila chenga
Kwan hizo simu ni cheapCheap but boring in some terms!
Kaka kwan shngap?Kwan hizo simu ni cheap
mkuu mpaka umepata mwanya wa kuchukua picha ya huyu mzee na wajukuu zake,u mmoja wao[emoji4][emoji4][emoji4].
hapana mkuu sijapiga mimi nimeikuta kwa mwanaemkuu mpaka umepata mwanya wa kuchukua picha ya huyu mzee na wajukuu zake,u mmoja wao[emoji4][emoji4][emoji4].
mpe hai sana,mwambie amependeza na jamaa zake.
mkuu mpaka umepata mwanya wa kuchukua picha ya huyu mzee na wajukuu zake,u mmoja wao[emoji4][emoji4][emoji4].
mpe hai sana,mwambie amependeza na jamaa zake.
Vp mkuu ulihis atakua na simu ya milion 4?
Vp mkuu ulihis atakua na simu ya milion 4?
Kati ya laki 4.5 Hadi 5.5Kaka kwan shngap?
Tunatofautiana kutafsiri kiwango cha fedha!