Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Redmi note 8 haikamati 4G ya Vodacom
Hizi ndo 4G bands za Note 8

4G bandsLTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 20(800), 38(2600), 40(2300)
LTE band 1(2100), 3(1800), 5(850), 8(900), 38(2600), 40(2300), 41(2500)



LTE Band 3 = Voda 4G, Halotel 4G, Airtel 4G, TTCL 4G, Zantel 4G]

LTE Band 20 = Smile 4G, Tigo 4G

LTE Band 40 = Smart 4G
 
Ila kwa Tigo inakamata
 
Nimeenda vodashop wameniambia simu yangu hai support 4g
Duh, je ttcl, airtel au halotel umeshatest pia? hiyo ni band kubwa mno almost 99% za simu zenye 4G inashika band hiyo.. mara nyingi ndo maana mitandao ya simu huwa wanatumia hiyo band.

Kama simu hainda band hiyo... ni sawasawa haina 4G tu 😳
 
Duh, je ttcl, airtel au halotel umeshatest pia? hiyo ni band kubwa mno almost 99% za simu zenye 4G inashika band hiyo.. mara nyingi ndo maana mitandao ya simu huwa wanatumia hiyo band.

Kama simu hainda band hiyo... ni sawasawa haina 4G tu 😳
Hiyo mitandao mingine sijajaribu
Natumia Vodacom na Tigo
 
Kwa wale wanaotaka kuagiza mizigo labda mtumie express shipping wenye ndege zao mfano DHL UPS ila mkitumia posta naona kama kunashida katika kupata mizigo... Nina mizigo Mitano miwil nmenunua ali express toka tarehe 13 march update ya mwisho ni tareh 20 mwezi wa 3....na mzigo miwil nlinunua ebay lakin seller yupo Estonia nilinunua tarehe 3 mwez wa 3 na update ya mwisho ni tarehe 23 mwezi wa 3 hadi leo hakuna pia kuna mzigo mwingine nnunua ebay seller yupo US na aliship na USPS priority mail update ya mwisho ni tarehe 18 mwezi wa 3.....yaaan nawashaur msiagize mizigo sabab post zinatumia fright za abilia ambazo kwa sasa ndege nying zimesitisha huduma.
...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…