Labda redmi 8, 8a na 9...Wakuu niaje nina kama 350k ivi naweza pata xiaomi device ya aina ipi iwe bomba na siyo ya kuagiza ali express naitaka ya hapa hapa tz
Ahaaa sawa mkuu na maduka yako sehemu zipi haswa arusha na daresalamaLabda redmi 8, 8a na 9...
Unataka sisi tubahatishe hilo tatizo la simu yako? Si useme inashida gani pengine unaweza pata msaada humuWakuu hii note pro 8 imeanza tatizo ambalo sielewi ufumbuzi wake
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Dar jaribu kwenda mtaa wa agrey kariakoo..Ahaaa sawa mkuu na maduka yako sehemu zipi haswa arusha na daresalama
Yaani siwezi kuona minimized apps. Kwa mfano nlikua nko JF,nikaingia whatsapp,nikaingia YouTube etc. Nkitaka kurudi Jf Hadi nikaclick icon yake vinginevyo nikibonyeza hapa chini kushoto haioneshi apps zozote nlizokua nazitumia recentlyUnataka sisi tubahatishe hilo tatizo la simu yako? Si useme inashida gani pengine unaweza pata msaada humu
Nenda kaulizie... Ila inaonesha umekamatwa na watu wa custom unaitaji kuulipia..... Kama hawajakupigia maana yake haujapewa FPL no so kama unaweza subir kama unawasaa nenda kaulizeMzigo wangu umefika toka tarehe 17 lakini mpaka Leo tarehe 20 sijatumiwa sms je naweza kwenda kuchukua mzigo wangu hata kama sijatumiwa sms na kama nikienda naanzia wapi?
Mimi ni mkazi wa Dar.
Dah mzigo wa dola 5 na kodi juu hii sasa ni hatariNenda kaulizie... Ila inaonesha umekamatwa na watu wa custom unaitaji kuulipia..... Kama hawajakupigia maana yake haujapewa FPL no so kama unaweza subir kama unawasaa nenda kaulize
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
Nenda kaulizie... Ila inaonesha umekamatwa na watu wa custom unaitaji kuulipia..... Kama hawajakupigia maana yake haujapewa FPL no so kama unaweza subir kama unawasaa nenda kaulize
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
Mizigo ina kuwa presented kwa watu wa customs hata uwe wa dola 1 wao ndo wataprocess kama sio wa kuulipia utapelekwa kwenye delivery point kama wakulipia watabaki nao.. So usiwe na wasi mizigo midogo midgo iyo hawa chargeDah mzigo wa dola 5 na kodi juu hii sasa ni hatari
Pamoja mkuuMizigo ina kuwa presented kwa watu wa customs hata uwe wa dola 1 wao ndo wataprocess kama sio wa kuulipia utapelekwa kwenye delivery point kama wakulipia watabaki nao.. So usiwe na wasi mizigo midogo midgo iyo hawa charge
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
Hatimaye mizigo yangu nimeipata na sijatozwa pesa yoyote hata Vat sijui muda mwingine huwa wanajisahauMzigo wangu umefika toka tarehe 17 lakini mpaka Leo tarehe 20 sijatumiwa sms je naweza kwenda kuchukua mzigo wangu hata kama sijatumiwa sms na kama nikienda naanzia wapi?
Mimi ni mkazi wa Dar.
Tulia uko wa telegram group yetuHatimaye mizigo yangu nimeipata na sijatozwa pesa yoyote hata Vat sijui muda mwingine huwa wanajisahau
Sijakuelewa mkuuTulia uko wa telegram group yetu
Tatizo nini mkuu mpaka unataka ndogo?Size ndogo ila specs mfano camera na ram ziwe zinakaribia au zinalingana na 8 pro
Typing error aisee, nilikua nakuuliza uko kwa group yetu ya telegramSijakuelewa mkuu