Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
short term sawa, ila long term wanayaua hayo makampuni, mfano huawei sasa hivi pengine miaka 2 ijayo awe player mdogo sana.China ni mnunuzi mkubwa wa vifaa simu vya marekani au tuseme mifumo ya simu Kama hizo os, cpu na vifaa vingine , sasa hapo kufungia kampuni 9 kubwa za kichina kunaweza kutikisa kidogo share za makampuni ya marekani au hiyo imekaaje?
Lakini mkuu Huawei alijiandaa mapema sabu alijua what's next kwake, kina Xiaomi sidhani ka washajiandaa kwa mimi ninavyoona kama hiyo ban itakua kwa long term kiasi kwamba haitaondolewa na Biden, Huawei ndo atakuja kua msaada mkubwa kwa kampuni za simu za kichina zilizopatwa ban recently! Atawauzia Harmony OS yake au wanaorganize kufanya jambo kubwa zaidi japokua itawaathiri pakubwa sana! Uzuri wa OS ya Huawei ni Android friendly na Kali Linux zote, ina support...short term sawa, ila long term wanayaua hayo makampuni, mfano huawei sasa hivi pengine miaka 2 ijayo awe player mdogo sana.
Huawei siasa nyingi mkuu, si rahisi kutoboa bila msaada wa nje, China Hawana patents ina discourage watu ku invent na kusababisha nchi yao kua ya ku copy copy tu.Lakini mkuu Huawei alijiandaa mapema sabu alijua what's next kwake, kina Xiaomi sidhani ka washajiandaa kwa mimi ninavyoona kama hiyo ban itakua kwa long term kiasi kwamba haitaondolewa na Biden, Huawei ndo atakuja kua msaada mkubwa kwa kampuni za simu za kichina zilizopatwa ban recently! Atawauzia Harmony OS yake au wanaorganize kufanya jambo kubwa zaidi japokua itawaathiri pakubwa sana! Uzuri wa OS ya Huawei ni Android friendly na Kali Linux zote, ina support...
Daah! Nimeona mkuu, Nilikua sijui hayo nmesakua XDA nmeona kweli hawa jamaa ni wazee wa copy & paste [emoji23]Huawei siasa nyingi mkuu, si rahisi kutoboa bila msaada wa nje, China Hawana patents ina discourage watu ku invent na kusababisha nchi yao kua ya ku copy copy tu.
Tu assume wamefanikiwa na Harmony watatumia processor za Nani? X86 na Arm zote ni za USA,
Nani at a manufacture hizo Soc? Kampuni yao ya ndani tayari imeshapigwa pini nayo. Tsmc nayo ni rafiki wa US same to Samsung.
Hata hio Harmony nimeona mahala inatumia Codes za Android, kuna developer alicode app ya android ya zamani aka launch ikatokea error kama Android. Harmony os ni fork ya Android 9
Na pia haina micro kernel.Huawei's Harmony OS 2.0 beta appears to be based on Android
Early developers for Huawei's Harmony OS 2.0 beta have discovered that the underlying system is still based on Android. Read on to know more!www.xda-developers.com
Mkuu hiki kipengele kimenifanya nicheke sana kwakweli [emoji23][emoji23]Huawei siasa nyingi mkuu, si rahisi kutoboa bila msaada wa nje, China Hawana patents ina discourage watu ku invent na kusababisha nchi yao kua ya ku copy copy tu.
Tu assume wamefanikiwa na Harmony watatumia processor za Nani? X86 na Arm zote ni za USA,
Nani at a manufacture hizo Soc? Kampuni yao ya ndani tayari imeshapigwa pini nayo. Tsmc nayo ni rafiki wa US same to Samsung.
Hata hio Harmony nimeona mahala inatumia Codes za Android, kuna developer alicode app ya android ya zamani aka launch ikatokea error kama Android. Harmony os ni fork ya Android 9
Na pia haina micro kernel.Huawei's Harmony OS 2.0 beta appears to be based on Android
Early developers for Huawei's Harmony OS 2.0 beta have discovered that the underlying system is still based on Android. Read on to know more!www.xda-developers.com
Na Huawei sio kwamba Hana Hela za ku develop OS, hii ni multi billion company, Sema tu culture za kichina zinawarudisha nyuma.Mkuu hiki kipengele kimenifanya nicheke sana kwakweli [emoji23][emoji23]View attachment 1679057
Ni simu nzuri mkuu lakini bei yake pia ni Ghali around 2 million. Kwa Tanzania official Xiaomi haleti simu ila kwa Kenya wapo Official, kule unazipata kirahisi.Chief-Mkwawa am sorry boss..unaweza kunipa dondoo za "Xiaomi MI 10 Ultra" nimetokea kuvutiwa nao..
Na je unapatikana kwa hapa TZ?
Much respect boss.Ni simu nzuri mkuu lakini bei yake pia ni Ghali around 2 million. Kwa Tanzania official Xiaomi haleti simu ila kwa Kenya wapo Official, kule unazipata kirahisi.
Equivalent yake ni s20, one plus 8 etc
Kwaio mkuu Finland wako vizuri pia hizi mambo? Kwa Russia sina wasiwasi nao..Na Huawei sio kwamba Hana Hela za ku develop OS, hii ni multi billion company, Sema tu culture za kichina zinawarudisha nyuma.
Waende tu Finland ama Urusi watapata MA injinia wa kutosha kukamilisha lengo lao.
mpaka unaona camera za Huawei zipo vizuri sababu R&D inafanyika Finland, even Xiaomi wamepeleka huko ndio maana wame improve sana Camera. nokia alikuwa na Os nyingi sana, Linus Torvalds (creator wa linux) ametokea finland, OS inayotumika Russia Aurora ambayo pia Huawei walikuwa rumored kuitumia ni Fork ya Sailfish os ya Finland, wapo vizuri sana.Kwaio mkuu Finland wako vizuri pia hizi mambo? Kwa Russia sina wasiwasi nao..
Duh! Kweli wapo vizuri jamaa,shukrani kwa hii elimu aisee sikua najua hili.mpaka unaona camera za Huawei zipo vizuri sababu R&D inafanyika Finland, even Xiaomi wamepeleka huko ndio maana wame improve sana Camera. nokia alikuwa na Os nyingi sana, Linus Torvalds (creator wa linux) ametokea finland, OS inayotumika Russia Aurora ambayo pia Huawei walikuwa rumored kuitumia ni Fork ya Sailfish os ya Finland, wapo vizuri sana.
Mkuu kuna mtu kafika bei anataka kununua hii simu nayotumia (Redmi note 9S). Nataka kumuuzia, naomba unijuze kama naweza kupata Redmi note 9pro hapo dar na je, kama napata hapo DSM inaweza kua refurbished?mpaka unaona camera za Huawei zipo vizuri sababu R&D inafanyika Finland, even Xiaomi wamepeleka huko ndio maana wame improve sana Camera. nokia alikuwa na Os nyingi sana, Linus Torvalds (creator wa linux) ametokea finland, OS inayotumika Russia Aurora ambayo pia Huawei walikuwa rumored kuitumia ni Fork ya Sailfish os ya Finland, wapo vizuri sana.
9s na 9pro mbona ni simu moja tu? Utofauti mdogo sana kwenye charger na camera ambao real life pengine usione utofauti wowote.Mkuu kuna mtu kafika bei anataka kununua hii simu nayotumia (Redmi note 9S). Nataka kumuuzia, naomba unijuze kama naweza kupata Redmi note 9pro hapo dar na je, kama napata hapo DSM inaweza kua refurbished?
Hii nayotaka kumuuzia niliagiza AliExpress, msaada chief.
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
[ Mkuu nimekupata kwa hiyo 9S naweza pata dar?9s na 9pro mbona ni simu moja tu? Utofauti mdogo sana kwenye charger na camera ambao real life pengine usione utofauti wowote.
9 pro Ngumu kupata hapa Tz kwa bei reasonable nyingi ni 500k+
zinapatikana mkuu ila bei ghali,[ Mkuu nimekupata kwa hiyo 9S naweza pata dar?
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
kaburunguMimi nmenunua xiaomi note 9s mpya kwenye box kwa 490,000 mtaa wa aggrey.