Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Tuwasifie tu Wachina,lakini mchina anacopy na kupest vya wengine sana na bidhaa zao nyingi aziko imara.
 
Kwa yeyote anayehitaji case, charger, au protector za Xiaomi original na accessories nyingine ambazo hazipatikani nchini tuwasiliane kwa DM au 0759110633 WhatsApp/CALL/SMS.

 
Daah! Xiaomi mi note 2 ni nzuri sana hata Samsung anaanza kuigopa hii kampuni, maana sahivi jamaa wamesha piku mauzo ya Samsung nchini India.
 
hivi nikiwa na 250 na mimi naopoa xaiomi ?
 
Nawezaje kupata hizo simu hapa Tanzania bila ya kufanya manunuzi kwa online shoping km amazon, alibaba. ama e-bay ?
 
Zipo ila bei yake ni kubwa sanaa, Ingia facebook watafute jamaa wa giants electronic wanazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…