Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hahahahahahahahahahahaha

Waliichukuaje kama yao mkuu?
Sio waliichukua sema walizichukuaje, nilikuwa chumbani simu zipo sebuleni lakini karibu na mlango hivyo jamaa kafungua mlango wa mbele yaani sijui nikwambie vipi kavuka milango mitatu kabeba simu kaondoka nazo natoka kuangalia hakuna namuuliza bi mkubwa anasema yeye aliona kivuli kirefu akajua ni mimi niliumia sana baadae nikasikia "mwambieni XX aje achukue simu yake haiuziki" waliipeleka kwa fundi wa vichochoroni kuigusa tu ikarudi kichina ile nyingine waliiuza, kuanzia hapo ni tecno sitaki kuumia tena
 
Ha ha ha ha ha ha ha sasa kwanini usirudi kuichukua simu yako?
 
Kwa yeyote anayehitaji case, charger, au protector za Xiaomi original na accessories nyingine ambazo hazipatikani nchini tuwasiliane kwa DM au 0759110633 WhatsApp/CALL/SMS.

Mwenye kuhitaji TPU case na glass protector za Xiaomi redmi note 4x... Tuwasiliane kwa WhatsApp 0759110633
 
Mnaotumiwa mizigo ya electronics huwa mbatumiwa kwa basi au kupitia posta???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…