Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wakubwa habari zenu. Vipi hizi device zetu zipo certified na google!?.
 
Kwa wanaotaka bidhaa AliExpress Kuna discount kubwa sikuizi mbili Hadi tarehe 31 march.
 
Kwa wanaotaka bidhaa AliExpress Kuna discount kubwa sikuizi mbili Hadi tarehe 31 march.
View attachment 729975
Global Version Xiaomi Redmi 5 2GB 16GB Snapdragon 450 Octa Core CPU Mobile Phone 5.7" 18:9 Full Screen Display Fingerprint ID
Nimeagiza hii kwenye hiyo anniversary sale kwa 270k pamoja na shipping.
Hivi hii anniversary sale inakuaga lini Hadi lini au inatokea tu?!

Je ni kwa miaka yote au?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…