Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wakuu naombeni link ya mtandao unaouza xiaomi redmi note 5 pro aliexpress nakosa, Aksanteni.
Mbona Seller tele wanaziuza hapo hapo Aliexpress!!
Vitu vya China chukulia aliexpress, gearbest au bang good kaka eBay na Amazon ni Sawa na kuzunguka tu
 
Last edited:
Aksante sana mkuu Nilikua sielewi hii kitu LAKINI Mwl.RCT kanielekeza na tayari nishakamilisha taratibu.
 
Aksante sana mkuu Nilikua sielewi hii kitu LAKINI Mwl.RCT kanielekeza na tayari nishakamilisha taratibu.
Ndugu Public Enemy

Mzigo umefika, Fuatisha maelekezoPM ili kuweza kuuchukua leo.

ahsante
 
Nimemchukulia Redmi 5 bi mdogo ameitumia fresh miezi miwili sasa bila ya shida,Tena alikuwa anafurahia mno.
Juzi alienda nayo kwenye sherehe akachukua video record hiyo sauti inayotoka unapoiplay video baada ya kuirekodi ni mikwaruzo mitupu.
Je wote wenye hizi redmi 5 series tuna tatizo Hilo au kwake tu?
Kama Kuna njia yoyote ya kufix naombeni msaada maana Sina amani hapa
 
Mimi natumia redmi 4x tangu mwaka 2017 - 6 iko poa mpaka sasa hakuna tatizo ila betri niliua mwenyewe kwa power bank
 
Mkuu simu zinazotoa sauti clear kwenye harusi zinahesabika na usitegemee simu ya bei rahisi kufanya kitu hicho. Kama ni kitu muhimu sana kwake atafute lavalier microphone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…